You are currently viewing WASHIRIKI IPU 153 WAVUTIWA UTAMADUNI WA TANZANIA

WASHIRIKI IPU 153 WAVUTIWA UTAMADUNI WA TANZANIA

Washiriki wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kutoka mataifa mbalimbali duniani wakipiga ngoma za asili katika banda la Karibu Tanzania lililopo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), jijini Arusha.

Banda hilo linatoa fursa kwa wageni kujifunza mambo mbalimbali kuhusu Tanzania, ikiwamo utamaduni, mila na desturi zake, huku likichangia kuitangaza nchi kimataifa kupitia urithi wake wa kitamaduni.

#IPU153Tanzania

Leave a Reply