You are currently viewing WAJUMBE WA IPU WAMPONGEZA RAIS SAMIA WAKATI WA HOTUBA YA UFUNGUZI ARUSHA

WAJUMBE WA IPU WAMPONGEZA RAIS SAMIA WAKATI WA HOTUBA YA UFUNGUZI ARUSHA

Baadhi ya wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), wakipiga makofi kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa IPU leo (Oktoba 5,2026) unaoendelea jijini Arusha.

Leave a Reply