You are currently viewing DKT. TULIA ACKSON ATOA UFAFANUZI KUHUSU MKUTANO WA 153 WA IPU ARUSHA

DKT. TULIA ACKSON ATOA UFAFANUZI KUHUSU MKUTANO WA 153 WA IPU ARUSHA

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson akitoa ufafanuzi katika mkutano na Waandishi wa Habari, (Oktoba 5,2026) kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea katika mkutano wa 153 wa IPU, unaoendelea jijini Arusha. Katikati ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu na kulia, ni Katibu Mkuu wa IPU, Anda FIlip.

Leave a Reply