MAKATIBU WA MABUNGE WATEMBELEA HIFADHI YA NGORONGORO
Makatibu wa Mabunge kutoka mataifa mbalimbali duniani wanaoshiriki Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU 153), leo Oktoba 6, 2026, wametembelea Hifadhi ya Ngorongoro, Arusha, kujionea kwa karibu…
