IPU YATAKA MATUMIZI AI KUDHIBITI UPOTOSHAJI TAARIFA
Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) umeazimia kuwepo kwa mifumo ya kudhibiti matumizi ya akili unde (AI) na teknolojia za kidijitali ili kudhibiti upotoshaji wa taarifa, usalama wa taarifa na haki…
Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) umeazimia kuwepo kwa mifumo ya kudhibiti matumizi ya akili unde (AI) na teknolojia za kidijitali ili kudhibiti upotoshaji wa taarifa, usalama wa taarifa na haki…
Spika wa Bunge la Australia, Milton Dick, ameshinda urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), akimrithi Dk Tulia Ackson, aliyeongoza kwa miaka mitatu tangu 2023. Dick, ameshinda nafasi hiyo kwa…
Washiriki wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kutoka mataifa mbalimbali duniani wakipiga ngoma za asili katika banda la Karibu Tanzania lililopo katika Kituo cha Mikutano cha…
ARUSHA. Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unatarajia kumpata Rais mpya leo, Oktoba 9, 2026, huku wagombea watatu wakijinadi na kuomba kura za wajumbe wa mkutano maalumu wa uchaguzi unaofanyika katika…
Tanzania imeelezwa kuwa miongoni mwa nchi za Afrika zinazopiga hatua katika kuimarisha afya ya mama na mtoto, huku uzoefu wake ukitajwa kuwa muhimu katika kuharakisha utekelezaji wa ajenda ya Umoja…
Bei mpya za mafuta zilizotangazwa Oktoba 7, 2026, zimeendelea kuifanya Tanzania kuwa na bei himilivu na nafuu za mafuta ikilinganishwa na nchi nyingi jirani na za mbali, licha ya sekeseke…
Wajumbe na wahudhuriaji wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), wameendelea kutembelea Banda la Karibu Tanzania, linalotoa fursa kwa wageni kujionea utamaduni, vivutio na mafanikio mbalimbali ya…
Spika wa Bunge la Uingereza, Sir Lindsay Hoyle, amepongeza Tanzania kwa nafasi yake katika kukuza diplomasia ya kibunge, maendeleo ya kiuchumi na ushirikiano wa kimataifa, akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha…
Wajumbe na washiriki wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), walipotembelea Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro na Makumbusho ya Urithi wa Kijiolojia (Geopark) yaliyopo Karatu mkoani Arusha,…
Tanzania imetumia Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kuendeleza msukumo wake wa kutaka Kiswahili kitambulike na kuwa miongoni mwa lugha rasmi za kazi za umoja huo. Hayo…